Kidoli Chetu
Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza daras ... Read More
Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Kidoli Chetu ni hadithi inayoangazia uhusiano mwema
baina ya watoto ili kukuza jam ...
Read Less  
Full Description