Swahili Readers: 5d - Safari ya Maskauti
Kaendi na nduguye, Mkangi, wanazidiwa na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari ... Read More
Kaendi na nduguye, Mkangi, wanazidiwa na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, wanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Su ...
Read Less  
Full Description