Upeo wa Ufahamu na Ufupisho

KES638.00

Upeo wa Ufahamu na Ufupisho kwa Shule za Upili ni kitabu cha mazoezi na marejeleo kwa wanafunzi wa shule za upili. Kitabu hiki kipya katika uwanja huu kitamwongoza mwanafunzi kujiandaa kw ... Read More

Upeo wa Ufahamu na Ufupisho kwa Shule za Upili ni kitabu cha mazoezi na marejeleo kwa wanafunzi wa shule za upili. Kitabu hiki kipya katika uwanja huu kitamwongoza mwanafunzi kujiandaa kwa mazoezi ya ufahamu na ufupisho. Kina sehemu mbili kuu: Ufahamu na Ufupisho. Katika kitabu hiki utapata: mada zote za ufahamu na ufupisho zilizoratibishwa kwenye silabasi sura kumi na moja zinazos ...
Read Less   Full Description