Mtego wa Mwavuli

KES0.00

Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza daras ... Read More

Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha. Mtego wa Mwavuli ni hadithi inayoangazia siku za wiki. Lola na wenzake wanashangaa ...
Read Less   Full Description