Daktari Njiwa

KES0.00

Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza daras ... Read More

Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha. Daktari Njiwa ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na Zola wanawatemb ...
Read Less   Full Description