Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwalimu Gredi 8

KES754.00

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vino shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mw ... Read More

Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vino shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Mwongozo huu wa mwalimu una: Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi • Muhtasari wa umilisi, maadili no masuala mtamb ...
Read Less   Full Description