Kiswahili Dadisi Workbook Grade 1

KES265.00

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa nj ... Read More

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitaz ...
Read Less   Full Description