
Si Kitu
KES330.00
Hii ni novela inayoteka nadhari ya msomaji kwa msuko wake wa kipekee. Kupitia riwaya hii, mwandishi anahimiza umuhimu wa kusamehe. Anawakejeli wanajamii wanaoendeleza chuki, kinyongo, kis ... Read More
Hii ni novela inayoteka nadhari ya msomaji kwa msuko wake wa kipekee. Kupitia riwaya hii, mwandishi anahimiza umuhimu wa kusamehe. Anawakejeli wanajamii wanaoendeleza chuki, kinyongo, kisasi, choyo na usiri – ingawa anasema zipo siri zinazowekwa ili kumlinda mtu.
...
Read Less  
Full Description