Heri Subira

KES410.00

Sabra alihisi kwamba alikuwa ameuvuta uvumilivu wake ukafika  mwisho … Alistahimili vya kutosha lakini ikawa hali ya ‘likikatwa kono linamea guu’. Je, mtu huhitajika kusubiri kiasi gani i ... Read More

Sabra alihisi kwamba alikuwa ameuvuta uvumilivu wake ukafika  mwisho … Alistahimili vya kutosha lakini ikawa hali ya ‘likikatwa kono linamea guu’. Je, mtu huhitajika kusubiri kiasi gani ili apate heri? ...
Read Less   Full Description