Kamusi Sanifu ya Msingi

KES850.00

KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili. ... Read More

KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili. Kwa nini Kamusi Sanifu ya Msingi? Kamusi hii ina: • maneno makuu mapya zaidi ya 2 000 • sentensi kwa kila neno kuu • wingi wa kila nomino • ngeli za nomino • mnyambuliko wa vitenzi • michoro na picha ...
Read Less   Full Description