Kiswahili Dadisi - Mazoezi ya lugha Darasa La 1 Mwongozo wa Mwalimu

Kiswahili Dadisi - Kiswahili Language Activities TG 1

KES271.00

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha ... Read More

Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha katika stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangams ...
Read Less   Full Description