Mabandia

KES300.00

Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiz ... Read More

Mabandia ni tamthilia inayopiga kurunzi ubandia unaojificha na kujifichua kwa sura mbalimbali maishani. Maisha ni kama karata. Wahusika sita wanajitokeza katika maonyesho sita wakifululiza hadi barazani kucheza duru sita za mchezo maarufu wa Wahedi wa Sitini. Mchezo huu huchezwa hasa katika maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. Kupitia vitendawili vinavyoibuka katika maonyesho mbalim ...
Read Less   Full Description