Kanda ya Siri

KES560.00

Chifu Abdullah anaingia katika kazi ngumu kuliko zote alizowahi kuzifanya katika maisha yake, kazi ya kuisaka kanda iliyopotea katika kasri yake. Kanda yenyewe inatembea kutoka mkono mmoj ... Read More

Chifu Abdullah anaingia katika kazi ngumu kuliko zote alizowahi kuzifanya katika maisha yake, kazi ya kuisaka kanda iliyopotea katika kasri yake. Kanda yenyewe inatembea kutoka mkono mmoja hadi mwingine, huku pande mbili zinazoisaka zikitumia nguvu, pesa na akili kuitafuta. Msako wa kanda unakutanisha watu wenye tajriba pana katika mambo ya uhalifu. Wapo wanaojeruhiwa, wapo wanaoumi ...
Read Less   Full Description