Mashaka
Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani. Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa ... Read More
Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani. Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa sababu ya kiburi cha Kiburi. Sio kwamba Kiburi hakumpenda Mashaka. La, hasha! Alimpenda sana na alikuwa tayari kumwaga mali yake yote, mradi tu ampate. Basi, binadamu huhitaji nini ili kufurahia ukam ...
Read Less  
Full Description