Description
‘Kitabu Changu cha Picha’ ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema.
Kitabu hiki kina picha za rangi ambazo zitavuta na kuteka makini ya wanafunzi. Picha hizi zimeambatana na maneno. Maneno yameteuliwa mahususi kutoka katika msamiati wa mada mbalimbali zilizoainishwa katika silabasi ya Early Childhood Development and Education (ECDE).Waandishi wa kitabu hiki ni walimu ambao wana uzoefu mkubwa katika kufundisha wanafunzi wa chekechea.
Reviews
There are no reviews yet.