Description
Kitabu hiki, ‘Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine’, ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za msingi. Vitabu vya Hadithi za Chiriku vina mambo mbalimbali ya kusisimua na kuchangamsha akili kwa watoto wa madarasa ya juu ya shule za msingi. Mazoezi yaliyoko mwisho wa kila kitabu yanakuza zaidi vipawa vya mwanafunzi vya kuelewa kuandika vizuri.
‘Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine’ ni kitabu chenye mafunzo mbalimbali kuhusu:
- Utiifu: kutodharau ushauri wa watu, kutojiamini sana, kuwa mwangalifu na kushirikiana.
- Mazingira yetu: mila na miiko kuhusu mazingira, mito na wanyama.
- Vipawa: uhunzi, ulinzi, ushupavu na ujasiri.
Hadithi nyingine katika mfululizo huu ni ‘Kapotei na Lulu’.
Reviews
There are no reviews yet.