Jipe Moyo: Diwani ya Mashairi

ISBN: 9789914442908Author: Oxford

KES 320.00

Jipe Moyo, Diwani ya Mashairi ni diwani yenye mkusanyo wa mashairi yaliyotungwa kutokana na masuala katika mitaala ya Kiswahili, kwa Gredi ya Saba, Nane na Tisa. Mashairi haya yametungwa kwa ufundi mkubwa ili kufundisha stadi mbalimbali za maisha, kuburudisha na kukashifu mambo yasiyofaa katika jamii.

Mashairi katika diwani hii yanakidhi maudhui katika masuala mbalimbali kwenye mitaala hii pamoja na kuwa yanaangazia kwa kina masuala ibuka yanayowahusu wanafunzi. Masuala hayo yamewasilishwa kwa njia nyepesi zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kujifunza na kufaidi ujumbe kwa urahisi.

Mbali na hayo, mashairi haya yametungwa kwa lugha nyepesi ili kueleweka moja kwa moja. Maudhui kwenye mashairi haya yako wazi ili ujumbe ueleweke kwa urahisi. Pamoja na hayo, yanafunza mbinu anuwai za lugha, kwa mfano: tashbihi, sitiari, methali, nahau na uradidi. Isitoshe, kila shairi lina maswali yatakayomwongoza mwanafunzi katika kufahamu, kuelewa na kuchambua mashairi ya Kiswahili katika kiwango hiki.

Bila shaka, diwani hii ni hazina bora na tunu ambayo itawatia moyo wanafunzi wa kiwango hiki na kuwafanya wapende na kuchangamkia ushairi.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jipe Moyo: Diwani ya Mashairi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *