Description
‘Mgeni njoo!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi.
- Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, tanakali za sauti, kichekesho na picha za rangi zenye kusisimua.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani, malezi, utoto, afya, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, haki za watoto na kuishi kwa utangamano.
Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Reviews
There are no reviews yet.