Kiswahili Dadisi Workbook Grade 2

ISBN: 9780195747379Author: Jackline Ndege et al.

KES 395.00

‘Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha, Workbook’ ni mfululizo wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika mfumo mpya wa umilisi. Vitabu hivi vinaelekeza kikamilifu kufanya mazoezi ya lugha kwa njia ya kufurahisha na kuelimisha. Kila kitabu katika mfululizo huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa msingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani.

Kitabu hiki:

  • Kimeandikwa kwa kufuata mada zote kwenye silabasi.
  • Kina mazoezi mengi ya kufurahisha na kuelimisha ambayo mwanafunzi anaweza kufanya.
  • Ili kujenga umilisi katika kila mada.
  • Kina tathmini tamati ambayo mwanafunzi anaweza kufanya ili kukadiria umilisi wa jumla.
  • Kwa mada zote.

Majibu ya mazoezi ya vitabu vyote vya Gredi 2 yanapatikana katika kitabu kimoja.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Dadisi Workbook Grade 2”

Your email address will not be published. Required fields are marked *