Swahili Readers: 7a – Nimlaumu Nani?

ISBN: 9780195733143Author: Roy Ndambuki

KES 285.00

‘Nimlaumu nani?’ ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia.
  • Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi.
  • Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani, kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora, haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua, kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.

Buy from Text Book Centre

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Swahili Readers: 7a – Nimlaumu Nani?”

Your email address will not be published. Required fields are marked *