Description
“Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile…” anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw. Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni – hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao.
“Musa na Watekanyara” ni kitabu cha nne katika msururu wa “Visa na Vituko vya Musa”.
Reviews
There are no reviews yet.