Musa na Pepo

ISBN: 9780195738285Author: Barbara Kimenye

THZ 7,500.00

Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya ‘damu’ yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi. Namukasa? Naibu wa mwalimu mkuu, Bw. Karanja, anaamini kuwa ni wanafunzi wa Bweni nambari 3 wanaofanya mzaha. Kwa hivyo Musa na wenzake wanaamua kufanya juu chini kumnasa pepo huyu la sivyo atawafanya watimuliwe shule. “Musa na Pepo” ni kitabu cha sita katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Enquire from Customer Service

Description

Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya ‘damu’ yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi. Namukasa? Naibu wa mwalimu mkuu, Bw. Karanja, anaamini kuwa ni wanafunzi wa Bweni nambari 3 wanaofanya mzaha. Kwa hivyo Musa na wenzake wanaamua kufanya juu chini kumnasa pepo huyu la sivyo atawafanya watimuliwe shule. “Musa na Pepo” ni kitabu cha sita katika msururu wa “Visa na Vituko vya Musa”, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Musa na Pepo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *