Description
Je, ungependa kuifahamu lugha ya Kiingereza kama unavyoifahamu lugha ya Kiswahili? Je, ungependa kujua tafsiri za Kiingereza za maneno ya Kiswahili unayoyajua? Basi Kamusi ya Msingi Kiswahili–English itakusaidia.
Kamusi hii ina:
- Mada kuu 27.
- Maneno muhimu ya Kiswahili zaidi ya 1,800 na tafsiri za maneno hayo.
- Wingi wa nomino.
- Mifano rahisi ya sentensi katika Kiswahili na Kiingereza.
- Michoro zaidi ya 1,200 ya kupendeza.
Gundua. Elewa. Faulu.
Reviews
There are no reviews yet.