Description
KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili.
Kwa nini Kamusi Sanifu ya Msingi?
Kamusi hii ina:
- maneno makuu mapya zaidi ya 2 000
- sentensi kwa kila neno kuu
- wingi wa kila nomino
- ngeli za nomino
- mnyambuliko wa vitenzi
- michoro na picha zaidi ya 1 000 kurahisisha uelewa wa maana
- vipengele mbalimbali vya sarufi
- kurasa 10 za kumwelekeza mtumiaji
- kurasa 32 za rangi zinazogusia maudhui mbalimbali kama vile rangi, maumbo, tarakimu, sehemu za mwili wa binadamu, mavazi,vyakula na vinywaji, wanyama, miti na mimea, michezo mbalimbali, usafiri, alama za barabarani, viumbe na makao yao, vikembe, majira na nyakati, dira, sayari, salamu, majina ya kike na ya kiume, nomino za makundi, tanakali za sauti,tashbihi, visawe na nahau
- maelezo ya kina kuhusu ngeli za nomino
Reviews
There are no reviews yet.