Test It & Fix It KCSE Revision Kiswahili - 4th Edition

KES875.00

Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE toleo jipya ni kimoja kati ya msururu wa vitabu vya marudio, yaani Test it & Fix it revision Series. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kumwez ... Read More

Ijaribu na Uikarabati, Marudio ya KCSE toleo jipya ni kimoja kati ya msururu wa vitabu vya marudio, yaani Test it & Fix it revision Series. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kumwezesha mwanafunzi kuboresha matokeo katika mtihani. Mada zote kwenye silabasi ya shule za sekondari zimeshughulikiwa ikiwa ni pamoja na mifano ya mitihani ya mwigo na ushauri kwa mwanafunzi ili kuhakiki ...
Read Less   Full Description