Kipendacho Roho

KES350.00

Bado tulisubiri ‘wakaishi raha mustarehe’. Siku hiyo nyanya hakumaliza hivyo… Kadzo anajikuta katika mtego wa hadaa. Alipenda kwa roho, kumbe kipendacho roho … ... Read More

Bado tulisubiri ‘wakaishi raha mustarehe’. Siku hiyo nyanya hakumaliza hivyo… Kadzo anajikuta katika mtego wa hadaa. Alipenda kwa roho, kumbe kipendacho roho … ...
Read Less   Full Description


Heri Subira

KES510.00

Sabra alihisi kwamba alikuwa ameuvuta uvumilivu wake ukafika  mwisho … Alistahimili vya kutosha lakini ikawa hali ya ‘likikatwa kono linamea guu’. Je, mtu huhitajika kusubiri kiasi gani i ... Read More

Sabra alihisi kwamba alikuwa ameuvuta uvumilivu wake ukafika  mwisho … Alistahimili vya kutosha lakini ikawa hali ya ‘likikatwa kono linamea guu’. Je, mtu huhitajika kusubiri kiasi gani ili apate heri? ...
Read Less   Full Description


Kiti Cha Moyoni na hadithi nyingine

KES590.00

Huu ni mkusanyiko wa hadithi fupi ishirini ambazo zina utamu kutokana na mtindo wa fantasia na mkengeuko wa ukweli kama tunavyoujua wa kila siku. ... Read More

Huu ni mkusanyiko wa hadithi fupi ishirini ambazo zina utamu kutokana na mtindo wa fantasia na mkengeuko wa ukweli kama tunavyoujua wa kila siku. ...
Read Less   Full Description


Kamusi Sanifu ya Msingi

KES965.00

KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili. ... Read More

KAMUSI SANIFU YA MSINGI imetungwa kwa ustadi na wataalamu wa Kiswahili ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa shule za msingi na yeyote anayetaka kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili. Kwa nini Kamusi Sanifu ya Msingi? Kamusi hii ina: • maneno makuu mapya zaidi ya 2 000 • sentensi kwa kila neno kuu • wingi wa kila nomino • ngeli za nomino • mnyambuliko wa vitenzi • michoro na picha ...
Read Less   Full Description


CBC Workbooks Answer Book Grade 1

KES375.00

Answer Book Grade 1 This book provides answers to the questions in new competency-based curriculum workbooks listed below: • Our Lives Today Environmental Activities Workbook 1 • Let’s Do ... Read More

Answer Book Grade 1 This book provides answers to the questions in new competency-based curriculum workbooks listed below: • Our Lives Today Environmental Activities Workbook 1 • Let’s Do Mathematics Activities Workbook 1 • Everyday Hygiene and Nutrition Activities Workbook 1 • Growing in Christ CRE Activities Workbook 1 • New Progressive Primary English Activities Workbook 1 • Kiswah ...
Read Less   Full Description