Upande Mwingine

KES365.00

Kimako anarejea Kenya baada ya kuishi uhamishoni. Je, ataukabili ulimwengu wa utoto wake uliogeuka au atarudi uhamishoni kusikomweka? ... Read More

Kimako anarejea Kenya baada ya kuishi uhamishoni. Je, ataukabili ulimwengu wa utoto wake uliogeuka au atarudi uhamishoni kusikomweka? ...
Read Less   Full Description


Kosa si Kosa?

KES450.00

Lullu Katanga, mwanafunzi wa uanasheria, anajikuta korokoroni. Akipatikana na hatia, atahukumiwa kifungo bila dhamana. Shahidi wa pekee anayeweza kumsaidia ni mshiriki ambaye ana hatia za ... Read More

Lullu Katanga, mwanafunzi wa uanasheria, anajikuta korokoroni. Akipatikana na hatia, atahukumiwa kifungo bila dhamana. Shahidi wa pekee anayeweza kumsaidia ni mshiriki ambaye ana hatia zake. Je, shahidi huyu atakubali kumsaidia bila mwenyewe kuonekana mkosa? ...
Read Less   Full Description


Mlemavu? Si Mimi

KES365.00

Godfrey Ipalei, kama mhusika mkuu, anajiandikia tawasifu yake kuwatangazia walimwengu kuwa mtu yeyote anaweza kuyafikia malengo yake na kutimiza ndoto zake maishani licha ya changamoto za ... Read More

Godfrey Ipalei, kama mhusika mkuu, anajiandikia tawasifu yake kuwatangazia walimwengu kuwa mtu yeyote anaweza kuyafikia malengo yake na kutimiza ndoto zake maishani licha ya changamoto za kimaumbile. Anasisitiza kuwa ulemavu ni wa fikira na mielekeo hasi. Msomaji anatiwa moyo kutambua na kurutubisha kipawa alichonacho. ...
Read Less   Full Description


Si Kitu

KES415.00

Hii ni novela inayoteka nadhari ya msomaji kwa msuko wake wa kipekee. Kupitia riwaya hii, mwandishi anahimiza umuhimu wa kusamehe. Anawakejeli wanajamii wanaoendeleza chuki, kinyongo, kis ... Read More

Hii ni novela inayoteka nadhari ya msomaji kwa msuko wake wa kipekee. Kupitia riwaya hii, mwandishi anahimiza umuhimu wa kusamehe. Anawakejeli wanajamii wanaoendeleza chuki, kinyongo, kisasi, choyo na usiri – ingawa anasema zipo siri zinazowekwa ili kumlinda mtu. ...
Read Less   Full Description