Musa na shamba la shule

KES533.60

Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni 'kuso ... Read More

Wazo la kuanzisha shamba la shule linawafanya wanafunzi wa Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen kuandaa mgomo baridi. Kwa madai yao wenyewe, wako shuleni 'kusomea mitihani' wala si kuwa mashokoa wa mwalimu mkuu, Mzee Mukibi. Hata hivyo, hakuna aliye tayari kumkabili mwalimu mkuu kwa kuhofia kuonekana muasi. Masaibu ya Musa na marafiki zake yanazidi kufuatia ...
Read Less   Full Description


Musa na bahati Nasibu

KES533.60

Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu. Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika ... Read More

Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu. Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Ingawa wanafanikiwa kupata zawadi - gari kutoka kwa Nick Molo mchezo wao unakumbwa na mashaka. Kwanza, mwalimu mkuu, Mzee ...
Read Less   Full Description


Musa kwenye Harakati

KES533.60

Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo, Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia f ... Read More

Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo, Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo. Wakiwa mjini Tororo, wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika hafla yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka k ...
Read Less   Full Description


Mbona Hivi?

KES591.60

Ni vipi mtoto mdogo kama Sandra anafahamu maneno kama hayo? Tena maneno ambayo si ya Kiswahili, si ya Kiingereza, si ya lugha za kigeni au za kiasili. Yanatoka wapi? Ni nani waasisi wake? ... Read More

Ni vipi mtoto mdogo kama Sandra anafahamu maneno kama hayo? Tena maneno ambayo si ya Kiswahili, si ya Kiingereza, si ya lugha za kigeni au za kiasili. Yanatoka wapi? Ni nani waasisi wake? Mzee Jarida alijiuliza baada ya kumsikia mjukuu wake akizungumza. Maswali hayo yalipita akilini mwake haraka na kukaribisha fikra nyingi. Mbona Hivi? ni riwaya ambayo imeandikwa kwa lugha yenye mvuto ...
Read Less   Full Description


Musa Mpigakambi

KES533.60

Musa na King Kong wanabaki bila mahali pa kulala baada ya 'maonesho' yao ya fataki kuteketeza kimakosa mabweni katika shule yao-Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gent ... Read More

Musa na King Kong wanabaki bila mahali pa kulala baada ya 'maonesho' yao ya fataki kuteketeza kimakosa mabweni katika shule yao-Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Walioathiriwa na mkasa huo wanalazimika kupiga kambi kwenye mahema ukingoni mwa mto. Katika harakati za kuchimba shimo la kutia mhimili wa hema, King Kong anachimbua mfuko wenye vito vya thaman ...
Read Less   Full Description