Musa na Watekanyara

KES533.60

Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile... Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne ... Read More

Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile... Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni - hadi gari aina ya Mercedes Ben ...
Read Less   Full Description


Musa na Pepo

KES533.60

Je, kuna pepo anayeisumbua Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gim ... Read More

Je, kuna pepo anayeisumbua Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya 'damu' yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi Namukasa? Nai ...
Read Less   Full Description


Mashaka

KES394.40

Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani. Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa ... Read More

Nini ambacho Kiburi hakubarikiwa nacho; mali, ulimbwende au umaarufu? Lakini, vyote hivi havikutosha kumpa raha aliyoisaka maishani. Kwa upande mwingine, Mashaka anakumbana na mashaka kwa sababu ya kiburi cha Kiburi. Sio kwamba Kiburi hakumpenda Mashaka. La, hasha! Alimpenda sana na alikuwa tayari kumwaga mali yake yote, mradi tu ampate. Basi, binadamu huhitaji nini ili kufurahia ukam ...
Read Less   Full Description


Ujasiri wa Tito

KES313.20

Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua ... Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa … Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza ... Read More

Tito alijua kwamba hii ndio nafasi ya pekee aliyokuwa nayo ya kujinasua ... Alijua kuwa ujasiri wake tu ndio ungemwokoa … Tito alikabiliwa na hatari kubwa. Hatari hii ilitishia kumpoteza kwao milele. Hatari hii ingemtenganisha na wazaziwe na nduguye, Jesi, daima.Tito aliogopa haya.Aliogopa sana. Ndiyo maana aliamua kujijasiri. Alijua kuwa ujasiri huu huenda ungemletea adhabu kali, lak ...
Read Less   Full Description


Musa kwenye sokomoko

KES533.60

Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!' Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. ... Read More

Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!' Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua. Juli Sekabanja anaamua kwamba Musa na King Kong ndio wahusika hasa anaowa ...
Read Less   Full Description