Sauti ya Dhiki

KES510.40

Diwani hii - inayosheheni mashairi kuhusu utamaduni, mapenzi, nasaha, siasa, mambo ya kinyumbani, n.k. - ilitungwa baina ya 1969 na 1972 ambapo mtunzi alikuwa kifungoni baada ya kupatikan ... Read More

Diwani hii - inayosheheni mashairi kuhusu utamaduni, mapenzi, nasaha, siasa, mambo ya kinyumbani, n.k. - ilitungwa baina ya 1969 na 1972 ambapo mtunzi alikuwa kifungoni baada ya kupatikana na hatia ya kuwachochea watu ili waipindue Serikali ya Kenya kwa kutumia silaha. Kwa hivyo, unapoisoma diwani hii hutaweza kujizuia kuona athari ambayo kifungo huweza kuwa nayo kwa mfungwa. Jambo la ...
Read Less   Full Description


Malenga wapya

KES0.00

Diwani hii ya Malenga Wapya imekusanya mashairi 37 ambayo yana ukwasi mkubwa wa fani na maudhui na yametumia mitindo mbalimbali ya mashairi ya Kiswahili. Malenga wetu hawa wapya wamejita ... Read More

Diwani hii ya Malenga Wapya imekusanya mashairi 37 ambayo yana ukwasi mkubwa wa fani na maudhui na yametumia mitindo mbalimbali ya mashairi ya Kiswahili. Malenga wetu hawa wapya wamejitahidi sana kuchora picha ambazo zinaakisi utamaduni wa Kiswahili na waswahili wenyewe. Maudhui yaliyotawala katika mashairi haya ni pamoja na maswala ya ukombozi wa mwanamke, uonevu na umasikini, kilim ...
Read Less   Full Description


Mfalme Edipode

KES533.00

Mchezo huu ni tafsiri ya mmojawapo wa michezo ya misiba iliyo mashuhuri iliyotungwa na yule mwandishi wa Kigiriki, Sofokile, kiasi cha miaka 420 kabla ya Kristo. Unatuwekea mbele yetu had ... Read More

Mchezo huu ni tafsiri ya mmojawapo wa michezo ya misiba iliyo mashuhuri iliyotungwa na yule mwandishi wa Kigiriki, Sofokile, kiasi cha miaka 420 kabla ya Kristo. Unatuwekea mbele yetu hadithi nzuri mno ya mfalme ambaye, pamoja na kuwa na moyo laini, ana ndweo ya kiburi cha kuzawa nacho. Kiburi hicho ndicho kinachompeleka kwenye kifo kiovu baada ya kumuua babake na kumuoa mamake bila y ...
Read Less   Full Description


Let Us read usage guide level 1

KES0.00

This Usage Guide supports Level I readers. It suggests strategies for using the readers for both guided and independent reading. The Usage Guide provides: Core competencies, Pertinent and ... Read More

This Usage Guide supports Level I readers. It suggests strategies for using the readers for both guided and independent reading. The Usage Guide provides: Core competencies, Pertinent and Contemporary Issues (PCIs) and values brought out in each story Step-by-step guidance on how to use the readers to develop fluency and comprehension Suggestions for listening and speaking activities ...
Read Less   Full Description


Ni Rangi tu

KES481.40

Majaaliwa alipokutana na binadamu wenzake alitamani kujichimbia ardhini ajifiche. Waliicheka rangi yake 'iliyochujuka', kama walivyosema wenyewe. Walimhepa na kumkimbia kama mgonjwa wa uk ... Read More

Majaaliwa alipokutana na binadamu wenzake alitamani kujichimbia ardhini ajifiche. Waliicheka rangi yake 'iliyochujuka', kama walivyosema wenyewe. Walimhepa na kumkimbia kama mgonjwa wa ukoma! Wakati mwingine Majaaliwa alijutia majaaliwa aliyopewa, lakini alijijasiri akakabiliana nayo kiume. Aliyakabili kama vile simba jike mwenye hasira anavyomkabili adui, na hatimaye! Hatimaye ... Ni ...
Read Less   Full Description