Nyongo mkalia Ini
Nyongo Mkalia Ini ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kad ... Read More
Nyongo Mkalia Ini ni riwaya ya kusisimua inayosimulia ukweli wa mambo katika ulimwengu huu wetu. Mwandishi amegusia nyanja mbalimbali za maisha, hivyo basi mashabiki wa mambo kadha na kadha watavutiwa na riwaya hii. Mapenzi ya mumo, siasa zi mumo, huzuni na furaha za familia zi mumo hata ushirikina, usaidizi, mauaji ya kikatili, Historia, Elimu, n.k. yote hayo ya mumo katika Nyongo Mk ...
Read Less  
Full Description