Swahili Readers: 4b - Usicheze na Moto
Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi. Miongoni mwa sifa za kipekee za kit ... Read More
Usicheze na moto! 4b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi.
Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
* Masimulizi rahisi ya hadithi.
* Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mjadala, nyimbo, taharuki na sentensi fupifupi.
* Kuwapitisha na kuwalea ...
Read Less  
Full Description