Wasakatonge

KES464.00

Muhammed Seif Khatib ni mzaliwa wa Kijiji cha Umbuji, Zanzibar, mwaka 1951. Alisomea ualimu katika Chuo cha Ualimu cha Nkrumah, Zanzibar. Baada ya kusomesha kwa muda, akajiunga na Chuo Ki ... Read More

Muhammed Seif Khatib ni mzaliwa wa Kijiji cha Umbuji, Zanzibar, mwaka 1951. Alisomea ualimu katika Chuo cha Ualimu cha Nkrumah, Zanzibar. Baada ya kusomesha kwa muda, akajiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu shahada ya B.A. Ed. katika fani ya Fasihi, Isimu, Taaluma ya Maendeleo na Ualimu mwaka 1978. Mwaka 1982 alitunukiwa shahada ya M.A. katika Chuo Kikuu cha London (SOAS ...
Read Less   Full Description