Dunia Yao

KES800.40

Dunia Yao ni riwaya inayothibitisha namna ujasiri wa mwandishi ulivyoimarika kwa kujadili mambo nyeti kuhusu jamii yake na mataifa. Tunakutana na Ndi- anayejifungia njozini kukimbia ukwel ... Read More

Dunia Yao ni riwaya inayothibitisha namna ujasiri wa mwandishi ulivyoimarika kwa kujadili mambo nyeti kuhusu jamii yake na mataifa. Tunakutana na Ndi- anayejifungia njozini kukimbia ukweli unaompa mateso na kuihangaisha akili yake. Mwishowe anaishiwa na kila kitu ila ishara za mauti. Kwa nini? Kitendawili hiki tunakuachia wewe msomaji ukitegue. Ulimwengu wa riwaya hii na msuko wake, n ...
Read Less   Full Description