Othello

KES568.40

Iago anaapa kulipiza kisasi kwa kuivuruga ndoa ya Othello na Desdemona. Njia pekee ya kufanikisha lengo lake ni kumghilibu Othello kuwa mkewe ni mwasherati. Je, Iago atafaulu katika azma ... Read More

Iago anaapa kulipiza kisasi kwa kuivuruga ndoa ya Othello na Desdemona. Njia pekee ya kufanikisha lengo lake ni kumghilibu Othello kuwa mkewe ni mwasherati. Je, Iago atafaulu katika azma yake? Je, Othello atazikubali hila za Iago? Endapo Othello atashawishika, atamchukulia hatua gani Desdemona? Haya ni kati ya maswali anayoyajibu William Shakespeare katika tamthiliya hii ya tanzia ina ...
Read Less   Full Description