Kamwe si Mbali Tena

KES638.00

"Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana limemeza ndoana ... Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili... Je, sikukwambia, T ... Read More

"Tambo njoo unisaidie. Nimeshalishika lile jisamaki kubwa linaloogelea huru mawinguni bila ya kumeza ndoana limemeza ndoana ... Njoo unisaidie kulivuta jisamaki hili... Je, sikukwambia, Tambo, kwamba kamwe si mbali tena?" Katika riwaya hii kila kizazi kinapitia nyakati mbalimbali zinazoathiriwa na usasa. Ina hadithi za watu wanaolishana halua au shubiri. Ndani ya hadithi hizo mnaibuka ...
Read Less   Full Description