Mwanamke aliyebeba Chatu

KES510.40

Kitabu hiki, Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine, ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za ... Read More

Kitabu hiki, Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine, ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za msingi. Vitabu vya Hadithi za Chiriku vina mambo mbalimbali ya kusisimua na kuchangamsha akili kwa watoto wa madarasa ya juu ya shule za msingi. Mazoezi yaliyoko mwisho wa kila kitabu yanakuza zaidi ...
Read Less   Full Description