Kwenye Ukingo Thim

KES435.00

Tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim inaonyesha migogoro iliyopo baina ya mahitaji ya mila na mahitaji ya maisha ya kisasa. Mwandishi amefaulu kuonyesha mvutano huo unavyoweza kutokea na at ... Read More

Tamthilia ya Kwenye Ukingo wa Thim inaonyesha migogoro iliyopo baina ya mahitaji ya mila na mahitaji ya maisha ya kisasa. Mwandishi amefaulu kuonyesha mvutano huo unavyoweza kutokea na athari zake kwa wanaohusika. E. N. Hussein ni mtunzi maarufu sana na ambaye ameumudu usanii wa tamthilia za Kiswahili. Miongoni mwa tamthilia zake ni Kinjeketile, Mashetani na Arusi. ...
Read Less   Full Description