Kiswahili Fasaha Mwongozo wa mwalimu 1

KES742.40

Kiswahili Fasaha, Mwongozo wa Mwalimu, Kidato cha 1 limeboreshwa ili kumpa mwalimu mwongozo wa kuimarisha maarifa yake ya kufundisha Kiswahili katika shule za sekondari. Mwongozo huu unaa ... Read More

Kiswahili Fasaha, Mwongozo wa Mwalimu, Kidato cha 1 limeboreshwa ili kumpa mwalimu mwongozo wa kuimarisha maarifa yake ya kufundisha Kiswahili katika shule za sekondari. Mwongozo huu unaambatana na Kiswahili Fasaha, Kitabu cha Mwanafunzi, Kidato cha 1. Kitabu hiki kitamwongoza mwalimu kwa kumdokezea jinsi ya kufundisha mada zote katika silabasi kwa kuzingatia mbinu zilizotafitiwa na k ...
Read Less   Full Description