Waja Leo: Diwani ya Mashairi

KES510.40

Waja leo ni mkusa'nyiko wa mashairi ya aina yake yanayomulikia kurunzi vipengele anuwai vya waja (binadamu)  wa leo. Watunzi wa mashairi katika diwani hii wana tajiriba na falsafa tofauti ... Read More

Waja leo ni mkusa'nyiko wa mashairi ya aina yake yanayomulikia kurunzi vipengele anuwai vya waja (binadamu)  wa leo. Watunzi wa mashairi katika diwani hii wana tajiriba na falsafa tofautitofauti zinazodhihirishwa na rnitindo na maudhui yao mbalimbali. Mashairi yenyewe yameandikwa kwa lugha rahisi kusomeka na kueleweka, yaliyo na mvuto wa ajabu na ambayo yatawafaa wapenzi na wasomi wa ...
Read Less   Full Description