Kivuli cha Ndoto

KES394.40

“Waama leo ... leo ninaona miale ya mapambazuko ikinijia taratibu ...” Matamanio ya ufanifu ndiyo huwa ndoto inayomwongoza na kumwandisi mwanadamu maishani. Kezi Pasuamende, anaambikwa ub ... Read More

“Waama leo ... leo ninaona miale ya mapambazuko ikinijia taratibu ...” Matamanio ya ufanifu ndiyo huwa ndoto inayomwongoza na kumwandisi mwanadamu maishani. Kezi Pasuamende, anaambikwa ubakaji na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miaka 27. Anakosa kusoma hadi chuo kikuu ili aweze kuwa rubani. Je, ataweza kufanikisha ndoto yake ama atalazimika kukubali chochote ilimuradi aweze kuendesha ...
Read Less   Full Description