Tubadilishe Jina
Kinyume na sifa na siha yake, kaunti aliyoitawala ilikuwa nyeusi; weusi uliowatia wakazi huzuni kutokana na ulafi na mapuuza ya viongozi. Baya zaidi, sauti za wapinzani dhidi ya umaskini, ... Read More
Kinyume na sifa na siha yake, kaunti aliyoitawala ilikuwa nyeusi; weusi uliowatia wakazi huzuni kutokana na ulafi na mapuuza ya viongozi. Baya zaidi, sauti za wapinzani dhidi ya umaskini, ukosefu wa ajira na magonjwa zilizimwa. Tubadilishe Jina ni riwaya inayomulika maovu mbalimbali katika jamii yetu ya leo, na madhara yanayotokana na uongozi
mbaya. Hadithi hii, vilevile, inaangazia n ...
Read Less  
Full Description