Shimo katika Anga

KES0.00

Katika juhudi zao za kutafuta mafuta, Tajeer na marafiki zake, wawekezaji wa kutoka ng’ambo, wameligeuza Ziwa Riziki kuwa tope jeusi na hivyo kuyaharibu maisha ya watu wengi waliolitegeme ... Read More

Katika juhudi zao za kutafuta mafuta, Tajeer na marafiki zake, wawekezaji wa kutoka ng’ambo, wameligeuza Ziwa Riziki kuwa tope jeusi na hivyo kuyaharibu maisha ya watu wengi waliolitegemea. Tajeer amefyeka misitu na kukausha vijito vinavyoihuisha jamii. Lengo lake ni kuanzisha mradi wa mamilioni ya pesa. Hata hivyo, Kibichi na familia yake hawako tayari kufurushwa kutoka kwenye ardhi ...
Read Less   Full Description