Wema Waliobaki

KES661.20

Mazungumzo yao yalikuwa mafupi. Alihitajika nyumbani haraka. Kulikuwa na dharura. Je, nini kilichokuwa kimetokea cha kuibua dharura hii? Ni kipi cha dharura ambacho hakingeweza kupitishwa ... Read More

Mazungumzo yao yalikuwa mafupi. Alihitajika nyumbani haraka. Kulikuwa na dharura. Je, nini kilichokuwa kimetokea cha kuibua dharura hii? Ni kipi cha dharura ambacho hakingeweza kupitishwa kwa simu? Si simu zenyewe zinafaa kupitisha jumbe za dharura? Wema Waliobaki ni riwaya inayoakisi sura mbalimbali za maovu yanayotekelezwa na watu wenye tamaa ya kuvuna wasichokipanda katika jamii ya ...
Read Less   Full Description