Musa

KES533.60

Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yake ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee, ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake tu ni ji ... Read More

Musa Kibaya anatimuliwa kutoka shule yake ya sita. Anahisi kwamba hii ni rekodi katika umri wake wa miaka kumi na mitano pekee, ingawa kwa namna fulani anaionea fahari. Hofu yake tu ni jinsi Mjomba wake, Silasi, atakavyolichukulia suala hili... Silasi anapogundua kutimuliwa kwake, anampeleka Musa katika shule yake ya saba, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlem ...
Read Less   Full Description