Utashi wa Dola na Hadithi Zingine

KES684.40

Kila mtu hufanya juhudi ili apate kufaulu maishani. Katika hali hii, ahadi nyingi hutolewa, miadi ikapangwa na mikakati kuwekwa ili kufanikisha maazimio. Utashi wa Dola na hadithi nyingin ... Read More

Kila mtu hufanya juhudi ili apate kufaulu maishani. Katika hali hii, ahadi nyingi hutolewa, miadi ikapangwa na mikakati kuwekwa ili kufanikisha maazimio. Utashi wa Dola na hadithi nyingine ni mkusanyo wa hadithi fupi zinazoakisi maisha ya wanadamu: hisia zao, mitazamo yao, ndoto zao, matumaini yao. Ubora wa hadithi katika mkusanyo huu haumo tu katika uanuwai wa fani bali pia kwenye ms ...
Read Less   Full Description