Musa Mashakani

KES533.60

Si jambo geni kwa Musa kuwa mashakani. Safari hii, yeye na marafiki zake katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanafanya mgomo wa kimzaha kuhusu chakula ... Read More

Si jambo geni kwa Musa kuwa mashakani. Safari hii, yeye na marafiki zake katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanafanya mgomo wa kimzaha kuhusu chakula wanachopewa shuleni. Mwanzoni, wanauona mzaha huo kuwa murua. Hata hivyo, mwalimu mkuu, Bw Mukibi, hafurahishwi - yeye si mtu wa kuficha hisia zake. Musa Mashakani ni hadithi ya tatu katika msururu wa ...
Read Less   Full Description