Musa na rafiki wa barua

KES533.60

Barua ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hi ... Read More

Barua ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko.Kando na hayo, Kasali-mvulana mgeni - anatengeneza mvinyo kwa mashine aliyoificha kwenye bweni. Kila anayeuonja anakiri kwamba ni mvinyo mzuri sana, na hata kuhusudu hali ya baadaye ya ...
Read Less   Full Description