Buriani
Juma, mhusika mkuu wa tamthilia hii, amebarikiwa na utajiri na utukufu, mke mzuri na mwema na binti mwadilifu. Ni mtu anayestahili furaha lakini mwenendo na tabia yake inamfanya asiwe na ... Read More
Juma, mhusika mkuu wa tamthilia hii, amebarikiwa na utajiri na utukufu, mke mzuri na mwema na binti mwadilifu. Ni mtu anayestahili furaha lakini mwenendo na tabia yake inamfanya asiwe na furaha wala burah" nyumbani wala nje.
Anatambua kuwa utukufu wa kweli hauji bila ya utu; kuwa bila ya kushirikiana na jamii na jamaa furaha daima itamĀ wepuka. Anaamua kugeuza mwenendo wake, ayape BUR ...
Read Less  
Full Description