Fani ya Fasihi Simulizi

KES609.00

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi. Mahitaji yote ya silabasi ya sh ... Read More

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi. Mahitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwa kwa kina. Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa. Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ...
Read Less   Full Description